sw_tn/amo/02/04.md

12 lines
306 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadilisha adhabu
Tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3.
# Uongo wao
Hili neno hapa ni kama linamaasha "miungu ya uongo" au "sanamu."
# kupotea...kutembea
Kuabudu sanamu imezungumziwa kana kwamba watu walikuwa wakitembea nyuma ya hawa miungu wa uongo.