# Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadilisha adhabu Tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3. # Uongo wao Hili neno hapa ni kama linamaasha "miungu ya uongo" au "sanamu." # kupotea...kutembea Kuabudu sanamu imezungumziwa kana kwamba watu walikuwa wakitembea nyuma ya hawa miungu wa uongo.