sw_tn/act/27/19.md

8 lines
224 B
Markdown

# Mabaharia wakaanza kutupa vifaa kwa mikono yao wenyewe
Vifaa ina maanisha vyombo maalumu kwa ajili ya mabaharia. Hii inaonesha jinsi hali ilivyokuwa tete.
# Bado dhoruba kubwa ilitupiga
Upepo wa kutisha ulitupiga sana.