sw_tn/act/22/30.md

16 lines
395 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Mstari huu unazungumzia jemedari mkuu
# Jemedari mkuu
afisa wa jeshi mwenye kikosi cha askari wapatao 600
# Hivyo akamfungua vifungo vyake
"yawezekana jemedaari mkuu alimfungua Paulo minyororo." au Mkuu wa jeshi aliamuru askari wake kumfungua vifungo Paulo"
# Akamleta Paulo chini
Kutoka kwenye ngome, kuna njia ya kutelemka chini mpaka kwenye uwanda wa nje wa hekalu"