# Taarifa ya jumla Mstari huu unazungumzia jemedari mkuu # Jemedari mkuu afisa wa jeshi mwenye kikosi cha askari wapatao 600 # Hivyo akamfungua vifungo vyake "yawezekana jemedaari mkuu alimfungua Paulo minyororo." au Mkuu wa jeshi aliamuru askari wake kumfungua vifungo Paulo" # Akamleta Paulo chini Kutoka kwenye ngome, kuna njia ya kutelemka chini mpaka kwenye uwanda wa nje wa hekalu"