sw_tn/act/22/19.md

20 lines
500 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Huu ni mwisho wa hotuba ya Paulo kwa umati wa Wayahudi waliokuwa kwenye ngome.
# Taarifa ya jumla
Fungu hili linazungumzia Wayahudi wasioamini waliokuwa Yerusalemu
# wao wenyewe wanajua
"wao wenyewe" ni msisitizo wa neno katika kiwakilishi cha jina
# katika kila sinagogi
Paulo alikwenda kwenye masinagogi akiwatafuta Wayahudi waliokuwa wamemwamini Yesu.
# damu ya Stefano ... ilikuwa imemwagika
Msemo huu ulikuwa ni desturi ya kusema mtu aliyeuawa. "walimwua Stephen."