# Sentensi unganishi Huu ni mwisho wa hotuba ya Paulo kwa umati wa Wayahudi waliokuwa kwenye ngome. # Taarifa ya jumla Fungu hili linazungumzia Wayahudi wasioamini waliokuwa Yerusalemu # wao wenyewe wanajua "wao wenyewe" ni msisitizo wa neno katika kiwakilishi cha jina # katika kila sinagogi Paulo alikwenda kwenye masinagogi akiwatafuta Wayahudi waliokuwa wamemwamini Yesu. # damu ya Stefano ... ilikuwa imemwagika Msemo huu ulikuwa ni desturi ya kusema mtu aliyeuawa. "walimwua Stephen."