sw_tn/act/22/14.md

32 lines
922 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anamalizia kuwaambia kile kilichotokea kwake huko Dameski. Ananukuu kile Anania alisema kwake. Hii ni sehemu ya hotuba ya Paulo aliyoitoa huko Yerusalemu.
# mapenzi yake
"kile Mungu anapanga na kinaweza kutokea"
# kusikia sauti kutoka mdomoni kwake mwenyewe
Vyote "sauti" na "kinywa" rejea kwa nayezungumza. "kumsikiliza akiongea moja kwa moja kwako"
# kwa watu wote
Hapa "watu" maana yake watu wote akiwa mwanamume au mwanamke. "kwa watu wote"
# Na sasa
Hapa "sasa" haina maana "wakati huu," lakini linatumika kuleta umakini na hatua muhimu ifuatayo.
# ubatizwe
Hii inaweza kuanza: "naomba nikupatize" au "kupokea ubatizo"
# Kuoshwa na kuondolewa dhambi zako
kama kuoshwa kwa mwili wa mtu ili kuondoa uchafu, akiliitia jina la Yesu kwa msamaha wa dhambi. Omba msamaha wa dhambi zako.
# ukiliitia jina lake
Hapa "jina" ni Bwana Yesu. "wito kwa Bwana" au "kuamini katika Bwana"