# Sentensi unganishi Paulo anamalizia kuwaambia kile kilichotokea kwake huko Dameski. Ananukuu kile Anania alisema kwake. Hii ni sehemu ya hotuba ya Paulo aliyoitoa huko Yerusalemu. # mapenzi yake "kile Mungu anapanga na kinaweza kutokea" # kusikia sauti kutoka mdomoni kwake mwenyewe Vyote "sauti" na "kinywa" rejea kwa nayezungumza. "kumsikiliza akiongea moja kwa moja kwako" # kwa watu wote Hapa "watu" maana yake watu wote akiwa mwanamume au mwanamke. "kwa watu wote" # Na sasa Hapa "sasa" haina maana "wakati huu," lakini linatumika kuleta umakini na hatua muhimu ifuatayo. # ubatizwe Hii inaweza kuanza: "naomba nikupatize" au "kupokea ubatizo" # Kuoshwa na kuondolewa dhambi zako kama kuoshwa kwa mwili wa mtu ili kuondoa uchafu, akiliitia jina la Yesu kwa msamaha wa dhambi. Omba msamaha wa dhambi zako. # ukiliitia jina lake Hapa "jina" ni Bwana Yesu. "wito kwa Bwana" au "kuamini katika Bwana"