sw_tn/act/22/09.md

16 lines
527 B
Markdown

# ila hawakuielewa sauti ya yule aliye ongea na mimi
Neno "sauti" linasimama badala ya mtu anayeongea. Hawakuelewa kile yule mtu alichokuwa akiongea nami.
# huko utaambiwa
"kuna mtu atakuambia" au "huko utafahamu"
# Sikuweza kuona kwa sababu ya mwangaza wa ile nuru
"Niliachwa nikiwa sioni kwasababu ya uli mwanga angavu.
# nikaenda Dameski kwa kuongozwa kwa mikono ya wale waliokuwa na mimi
Hapa "mikono" anasimama kwa wale waliomuongoza Paul. Hii inaweza ikaanza: "Watu waliokuwa na mimi waliniongoza kwenda Dameski"