forked from WA-Catalog/sw_tn
52 lines
1.2 KiB
Markdown
52 lines
1.2 KiB
Markdown
# nilipata elimu katika mji huu, miguuni pa Gamalieli
|
|
|
|
alikuwa mwanafunzi wa rabi Gamalieli hapa Yerusalemu "
|
|
|
|
# Gamarieli
|
|
|
|
Gamarieli alikuwa mwalimu mashuhuri wa sheria ya Kiyahudi.
|
|
|
|
# Nilifundishwa kulingana na njia sahihi ya sheria za baba zetu.
|
|
|
|
"Aliniagiza jinsi ya kutii kwa makini kila sheria ya baba zetu" au "mafundisho niliyopata yalifuatiwa na maelezo halisi ya sheria ya baba zetu"
|
|
|
|
# Nina bidii kwa Mungu
|
|
|
|
"Nimejitoa kikamilifu kumtii Mungu" au "Mimi nina hamu kuhusu huduma yangu kwa Mungu"
|
|
|
|
# kama ninyi nyote mlivyo leo
|
|
|
|
"Kama ilivyo kwenu nyote hivi leo". Paulo anajilinganisha na umati wa watu.
|
|
|
|
# njia hii
|
|
|
|
Hii ilikuwa ni neno lililotumika kutaja Ukristo
|
|
|
|
# hadi mauti
|
|
|
|
"mauti" inaweza kutafsiriwa na kitenzi "kuua" au "kufa
|
|
|
|
# na kuwatupa gerezani
|
|
|
|
"Walitupwa gerezani" au "Kuwaweka gerezani"
|
|
|
|
# kutoa ushahidi
|
|
|
|
"Kushuhudia" au "kutoa ushahidi"
|
|
|
|
# nilipokea barua kutoka kwao
|
|
|
|
"Makuhani wakuu na wazee nilipokea barua kutoka kwao"
|
|
|
|
# kwa ajili ya ndugu zetu walioko Dameski
|
|
|
|
Hapa "ndugu" inahusu "Wayahudi wenzake
|
|
|
|
# Ilikuwa niwalete Yerusalemu watu wa njia ile
|
|
|
|
"Waliniagiza kuwafunga minyororo wale wote wa njia ile na kuwaleta Yerusalemu
|
|
|
|
# ili waadhibiwe
|
|
|
|
"ili wapate adhabu" au "ili viongozi wa Wayahudi wangeweza kuwaadhibu"
|