# nilipata elimu katika mji huu, miguuni pa Gamalieli alikuwa mwanafunzi wa rabi Gamalieli hapa Yerusalemu " # Gamarieli Gamarieli alikuwa mwalimu mashuhuri wa sheria ya Kiyahudi. # Nilifundishwa kulingana na njia sahihi ya sheria za baba zetu. "Aliniagiza jinsi ya kutii kwa makini kila sheria ya baba zetu" au "mafundisho niliyopata yalifuatiwa na maelezo halisi ya sheria ya baba zetu" # Nina bidii kwa Mungu "Nimejitoa kikamilifu kumtii Mungu" au "Mimi nina hamu kuhusu huduma yangu kwa Mungu" # kama ninyi nyote mlivyo leo "Kama ilivyo kwenu nyote hivi leo". Paulo anajilinganisha na umati wa watu. # njia hii Hii ilikuwa ni neno lililotumika kutaja Ukristo # hadi mauti "mauti" inaweza kutafsiriwa na kitenzi "kuua" au "kufa # na kuwatupa gerezani "Walitupwa gerezani" au "Kuwaweka gerezani" # kutoa ushahidi "Kushuhudia" au "kutoa ushahidi" # nilipokea barua kutoka kwao "Makuhani wakuu na wazee nilipokea barua kutoka kwao" # kwa ajili ya ndugu zetu walioko Dameski Hapa "ndugu" inahusu "Wayahudi wenzake # Ilikuwa niwalete Yerusalemu watu wa njia ile "Waliniagiza kuwafunga minyororo wale wote wa njia ile na kuwaleta Yerusalemu # ili waadhibiwe "ili wapate adhabu" au "ili viongozi wa Wayahudi wangeweza kuwaadhibu"