sw_tn/act/21/39.md

28 lines
555 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anaanza kujitetea kwa kile alichukuwa amefanya
# Nakuuliza
"nakuomba" au "nakusihi"
# nikubalie
"Tafadhali nikubalie" au tafadhali niruhusu"
# Jemadari alikuwa amempa kibali
Neno "kibali" linamaanisha kuwa mkuu wa kikosi alikmpa Paulo kibali cha kuzungumza.
# Paulo akasimama penye ngazi
Neno "ngazi" linamaanisha hatua ya juu ya kupanda kuelekea kwenye ngome.
# akatoa ishara ya mkono kwa watu
Paulo alitoa ishara ya mkono kwa watu kuashiria wanyamaze
# kulipokuwa na ukimywa sana
wakati watu waliponyamaza kabisa