# Sentensi unganishi Paulo anaanza kujitetea kwa kile alichukuwa amefanya # Nakuuliza "nakuomba" au "nakusihi" # nikubalie "Tafadhali nikubalie" au tafadhali niruhusu" # Jemadari alikuwa amempa kibali Neno "kibali" linamaanisha kuwa mkuu wa kikosi alikmpa Paulo kibali cha kuzungumza. # Paulo akasimama penye ngazi Neno "ngazi" linamaanisha hatua ya juu ya kupanda kuelekea kwenye ngome. # akatoa ishara ya mkono kwa watu Paulo alitoa ishara ya mkono kwa watu kuashiria wanyamaze # kulipokuwa na ukimywa sana wakati watu waliponyamaza kabisa