sw_tn/act/21/20.md

16 lines
402 B
Markdown

# Sentensi unganishi
wazee katika Yerusalemu wakaanza kumjibu Paulo.
# ndugu
Neno "ndugu" linamaanisha waumini wenzao.
# Wameambiwa kuhusu wewe... wasifuate desturi za zamani.
Hapa baadhi ya Wayahudi walikuwa wakifuatilia kuharibu mafundisho ya Paulo aliyokuwa amawafundisha waumini wapya, ili wafuate desturi za Musa badala ya kumfuata Yesu.
# Wameambiwa
"Watu waliwaambia waumini wa Kiyahudi"