# Sentensi unganishi wazee katika Yerusalemu wakaanza kumjibu Paulo. # ndugu Neno "ndugu" linamaanisha waumini wenzao. # Wameambiwa kuhusu wewe... wasifuate desturi za zamani. Hapa baadhi ya Wayahudi walikuwa wakifuatilia kuharibu mafundisho ya Paulo aliyokuwa amawafundisha waumini wapya, ili wafuate desturi za Musa badala ya kumfuata Yesu. # Wameambiwa "Watu waliwaambia waumini wa Kiyahudi"