sw_tn/act/21/07.md

28 lines
627 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anaanza rariba yake akiwa Kaisaria
# tuliwasili Tolemai
Tolemai ulikuwa ni mji wa kusini mwa Tiro, Lebanoni. Tolemai ya sasa ni Acre, Israeli.
# ndugu hawa
"waumini wenzake"
# mmoja kati ya saba
"Saba" inahusu wanaume waliochaguliwa kusambaza chakula na misaada kwa wajane.
# mtu huyu
"Philipo"
# Sasa
Neno hili limetumika kama alama ya kumalizika kwa tukio moja na kuanza kwa tukio jingine. Luka anasimulia habari za Philipo na binti zake.
# mabinti wanne mabikira ambao walitabiri
"Mabinti bikra wanne ambao kwa kawaida walikuwa wakipokea na kupeleka ujumbe kwa watu kutoka kwa Mungu.