sw_tn/act/19/11.md

12 lines
440 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Fungu hili linazungumzia juu ya wale waliokuwa wagonjwa.
# Mungu alikuwa akitenda makuu kupitia mikono ya Paulo hata waliokuwa wagonjwa waliponywa
Hapa "mikono" linasimamia maisha yote ya Paulo. Mungu alikuwa akimtumia Paulo kutenda miujiza.
# walichukua leso na eproni kutoka mwili wa Paulo
Hivi vilikuwa vitambaa ambavyo Paulo alivivaa ama kuvitumia. Walipovigusa vitambaa amabvyo Paulo alivivaa wakati wa huduma.