# Taarifa ya jumla Fungu hili linazungumzia juu ya wale waliokuwa wagonjwa. # Mungu alikuwa akitenda makuu kupitia mikono ya Paulo hata waliokuwa wagonjwa waliponywa Hapa "mikono" linasimamia maisha yote ya Paulo. Mungu alikuwa akimtumia Paulo kutenda miujiza. # walichukua leso na eproni kutoka mwili wa Paulo Hivi vilikuwa vitambaa ambavyo Paulo alivivaa ama kuvitumia. Walipovigusa vitambaa amabvyo Paulo alivivaa wakati wa huduma.