sw_tn/act/19/08.md

40 lines
945 B
Markdown

# Paulo alikwenda katika sinagogi akasema kwa ushujaa kwa muda wa miezi mitatu
Paul mara kwa mara alihudhuria mikutano katika sinagogi kwa miezi mitatu na kusema nao kwa ujasiri
# kuwavuta watu
kujaribu kuwashawishi watu kwa ujumbe wa kweli.
# kuhusiana na ufalme wa Mungu
Hapa neno "Ufalme" linasimamia uongozi wa Mungu kama Mfalme.
# Baadhi ya Wayahudi wengine walikuwa wagumu
Baadhi ya Wayahudi wakaidi walikataa kukubali ujumbe
# Kuongea mabaya
Kuongea mambo mabaya
# njia ya kristo
wokovu kupitia Yesu Kristo
# katika ukumbi wa Tirano
Katika ukumbi mkubwa mahali Tirano alipokuwa akifundishia watu.
# Tirano
Hili ni jina la mtu mwanaume
# wote waliokuwa wanaishi Asia walisikia
Inaweza kuwa na maana ya 1) 'Paul alishirikisha injili kwa watu wengi katika Asia' au 2) 'Ujumbe wa Paulo uliwafikia wote wa Asia kutoka Efeso kutoka hadi Asia yote.
# Neno la Bwana
Hapa "neno" linasimama kwa ujumbe. Ujumbe kuhusu Bwana Yesu.