# Paulo alikwenda katika sinagogi akasema kwa ushujaa kwa muda wa miezi mitatu Paul mara kwa mara alihudhuria mikutano katika sinagogi kwa miezi mitatu na kusema nao kwa ujasiri # kuwavuta watu kujaribu kuwashawishi watu kwa ujumbe wa kweli. # kuhusiana na ufalme wa Mungu Hapa neno "Ufalme" linasimamia uongozi wa Mungu kama Mfalme. # Baadhi ya Wayahudi wengine walikuwa wagumu Baadhi ya Wayahudi wakaidi walikataa kukubali ujumbe # Kuongea mabaya Kuongea mambo mabaya # njia ya kristo wokovu kupitia Yesu Kristo # katika ukumbi wa Tirano Katika ukumbi mkubwa mahali Tirano alipokuwa akifundishia watu. # Tirano Hili ni jina la mtu mwanaume # wote waliokuwa wanaishi Asia walisikia Inaweza kuwa na maana ya 1) 'Paul alishirikisha injili kwa watu wengi katika Asia' au 2) 'Ujumbe wa Paulo uliwafikia wote wa Asia kutoka Efeso kutoka hadi Asia yote. # Neno la Bwana Hapa "neno" linasimama kwa ujumbe. Ujumbe kuhusu Bwana Yesu.