sw_tn/act/16/32.md

20 lines
415 B
Markdown

# Sentensi unganishi
wakanena, hapa inamaanisha Paulo na Sila..
# nyumbani mwake
Mlinzi wa gereza aliwaleta Paulo na Sila nyumbani kwake"
# yeye pamoja na watu wa nyumbani mwake wakabatizwa
"Paulo na Sila walimbatiza Mlinzi wa gereza pamoja na watu wote wa nyumbani kwake"
# yeye...naye
Maneno haya yanamaanisha Mlinzi wa gereza
# kwasababu wote waliamini
"kwasababu watu wote wa nyumbani kwake waliamini"