# Sentensi unganishi wakanena, hapa inamaanisha Paulo na Sila.. # nyumbani mwake Mlinzi wa gereza aliwaleta Paulo na Sila nyumbani kwake" # yeye pamoja na watu wa nyumbani mwake wakabatizwa "Paulo na Sila walimbatiza Mlinzi wa gereza pamoja na watu wote wa nyumbani kwake" # yeye...naye Maneno haya yanamaanisha Mlinzi wa gereza # kwasababu wote waliamini "kwasababu watu wote wa nyumbani kwake waliamini"