sw_tn/act/13/38.md

32 lines
646 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Kiwakilishi cha jina "yeye" linaelezea juu ya Yesu.
# na ifahamike kwenu
"Fahamu hivi" au "Hii ni muhimu kwako kujua"
# Ndugu
Paulo anatumia lugha ua ndugu kuona Wayahudi na wafuasi wa dini ya kiyahudi wote ni ndugu.
# ifahamike kwenu, ndugu, kupitia mtu huyu, msamaha wa dhambi
"tunawatangazia kuwa dhambi zenu zinaweza kusamehewa kupitia Yesu."
# Msamaha wa dhambi
"Msamaha" inaweza kutafasiriwa kuwa; Mungu anaweza kusamehe dhambi zako"
# Kwa yeye kila aaminiye
"Kila mmoja anayemwamini yeye"
# Kwa yeye kila aaminiye anahesabiwa haki
"Yesu anamhesabia haki kila mmoja anayemwamini"
# Kila kitu
"dhambi zote"