# Maelezo ya jumla Kiwakilishi cha jina "yeye" linaelezea juu ya Yesu. # na ifahamike kwenu "Fahamu hivi" au "Hii ni muhimu kwako kujua" # Ndugu Paulo anatumia lugha ua ndugu kuona Wayahudi na wafuasi wa dini ya kiyahudi wote ni ndugu. # ifahamike kwenu, ndugu, kupitia mtu huyu, msamaha wa dhambi "tunawatangazia kuwa dhambi zenu zinaweza kusamehewa kupitia Yesu." # Msamaha wa dhambi "Msamaha" inaweza kutafasiriwa kuwa; Mungu anaweza kusamehe dhambi zako" # Kwa yeye kila aaminiye "Kila mmoja anayemwamini yeye" # Kwa yeye kila aaminiye anahesabiwa haki "Yesu anamhesabia haki kila mmoja anayemwamini" # Kila kitu "dhambi zote"