sw_tn/act/13/30.md

24 lines
601 B
Markdown

# Lakini Mungu alimfufua
"Lakini" ni neno linaloonyesha nguvu ya kutofautisha usemi uliotangulia na ule unaofuata kama vile; "Watu walimwua Yesu lakini Mungu alimfufua Yesu"
# alimfufua kutoka wafu.
"Alimfufu kutoka miongoni mwa wale waliokuwa wamekufa"
# kufufuliwa
"Kufanywa mzima tena"
# Alionekana... Galilaya kuelekea Yerusalemu.
"Wanafunzi waliotembea pamoja na Yesu kutoka Galilaya mpaka Yerusalemu wakimwona kwa siku nyingi."
# Siku nyingi
"Tunajua kutoka maandiko mengine kwamba, muda wa siku arobaini"
# hawa sasa ni mashahidi wa watu.
"Sasa wanashuhudia kwa watu habari za Yesu"