# Lakini Mungu alimfufua "Lakini" ni neno linaloonyesha nguvu ya kutofautisha usemi uliotangulia na ule unaofuata kama vile; "Watu walimwua Yesu lakini Mungu alimfufua Yesu" # alimfufua kutoka wafu. "Alimfufu kutoka miongoni mwa wale waliokuwa wamekufa" # kufufuliwa "Kufanywa mzima tena" # Alionekana... Galilaya kuelekea Yerusalemu. "Wanafunzi waliotembea pamoja na Yesu kutoka Galilaya mpaka Yerusalemu wakimwona kwa siku nyingi." # Siku nyingi "Tunajua kutoka maandiko mengine kwamba, muda wa siku arobaini" # hawa sasa ni mashahidi wa watu. "Sasa wanashuhudia kwa watu habari za Yesu"