sw_tn/act/12/16.md

16 lines
349 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Ingawa Herode alikuwa amemwua Yakobo sura 12:1, hata hivyo kulikuwa na Yakobo zaidi ya mmoja.
# Lakini Petro aliendelea kubisha
Neno "Kuendelea" linamaanisha Petro alifuluriza kubisha kwa mudo wote wale wa ndani wakiwa wanazungumza habari zake.
# Wajulishe haya mambo
"Waambieni habari hizi"
# Ndugu zake
"Waumini wengine"