sw_tn/act/10/34.md

24 lines
536 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Petro anaanza hotuba kuongea na kila mtu ndani ya nyumba ya Kornelio.
# Ndipo Petro akafungua mdomo wake na kusema
"Petro alianza kuzungumza kwao"
# Hakika
Hii inamaanisha kile anachokwenda kukisema kina umuhimu wa kukijua
# Mungu hawezi kuwa na upendeleo
"Mungu hapendelei watu maalumu"
# kila mtu yeyote anayemwabudu na kufanya matendo ya haki anakubalika kwake
"anamkubali kila mtu anayemwabudu na kufanya matendo ya haki"
# Ibada
Neno "Ibada" linamaanisha nia ya ndani ya heshima na kicho cha kweli.