sw_tn/act/10/27.md

20 lines
517 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Petro anawaelekea watu waliokuwa wamekusanyika kwenye nyumba ya Kornelio.
# watu wengi wamekusanyika pamoja
"akakuta wamataifa wengi wamekusanyika pamoja." hii inamaanisha kuwa watu ambao Kornelio alikuwa amewaalika walikuwa wamataifa.
# Ninyi wenyewe mnajua
Petro anamlenga Korneria na wageni aliokuwa amewaalika.
# siyo sheria ya kiyahudi
"imefichika kwa wayahudi"
# mtu ambaye si wa taifa hili.
Anaelezea watu ambao hawakuwa wayahudi, bila kutaja maeneo maalumu walikokuwa wanaishi.