# Sentensi unganishi: Petro anawaelekea watu waliokuwa wamekusanyika kwenye nyumba ya Kornelio. # watu wengi wamekusanyika pamoja "akakuta wamataifa wengi wamekusanyika pamoja." hii inamaanisha kuwa watu ambao Kornelio alikuwa amewaalika walikuwa wamataifa. # Ninyi wenyewe mnajua Petro anamlenga Korneria na wageni aliokuwa amewaalika. # siyo sheria ya kiyahudi "imefichika kwa wayahudi" # mtu ambaye si wa taifa hili. Anaelezea watu ambao hawakuwa wayahudi, bila kutaja maeneo maalumu walikokuwa wanaishi.