sw_tn/act/08/36.md

16 lines
444 B
Markdown

# Wakati wakiwa njiani
Waliendelea na safari njiani
# wakafika penye maji
Haiko wazi kama haya "Maji" yalikuwa ya kijito au bwawa la maji au maji mengi. tunachofahamu yalikuwa na kina cha kutosha kuwaza kwenda chini yake.
# "Tazama, pana maji hapa nini kinazuia nisibatizwe?,
Towashi alitumia swali hili kumwomba Filipo amruhusu kubatizwa. "Tafadhali niruhusu nibatizwe"
# akaamuru gari lisimame.
Akamwambia dereva wa mkokoteni asimame.