# Wakati wakiwa njiani Waliendelea na safari njiani # wakafika penye maji Haiko wazi kama haya "Maji" yalikuwa ya kijito au bwawa la maji au maji mengi. tunachofahamu yalikuwa na kina cha kutosha kuwaza kwenda chini yake. # "Tazama, pana maji hapa nini kinazuia nisibatizwe?, Towashi alitumia swali hili kumwomba Filipo amruhusu kubatizwa. "Tafadhali niruhusu nibatizwe" # akaamuru gari lisimame. Akamwambia dereva wa mkokoteni asimame.