sw_tn/act/08/09.md

20 lines
617 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Simoni ametajwa kwenye simlizi hii ya Filipo. Mistari ya 9-11ni maelezo yanayomhusu Simoni ya kuwa alikuwa nani miongoni mwa wasamaria.
# Lakini palikuwana mtu mmoja ...jina lake Simoni
Hii ni njia ya kumtambulisha mtu mgeni katika simulizi. Lugha yako pengine inaweza kutumia maneno tofauti kumtambulisha mtu mgeni katika simulizi.
# Mji
"Mji wa Samaria"
# Wasamaria wote tangu mdogo hata mkubwa
Hii inaongeza chumvi. "Wasamaria wengi katika mji wa Samaria.:
# Huyu mtu ni ile nguvu ya Mungu ambayo ni Kuu.
Watu walikuwa wanasema kwamba Simoni ni nguvu ya Mungu inayojulikana Nguvu Kuu.