# Maelezo ya jumla Simoni ametajwa kwenye simlizi hii ya Filipo. Mistari ya 9-11ni maelezo yanayomhusu Simoni ya kuwa alikuwa nani miongoni mwa wasamaria. # Lakini palikuwana mtu mmoja ...jina lake Simoni Hii ni njia ya kumtambulisha mtu mgeni katika simulizi. Lugha yako pengine inaweza kutumia maneno tofauti kumtambulisha mtu mgeni katika simulizi. # Mji "Mji wa Samaria" # Wasamaria wote tangu mdogo hata mkubwa Hii inaongeza chumvi. "Wasamaria wengi katika mji wa Samaria.: # Huyu mtu ni ile nguvu ya Mungu ambayo ni Kuu. Watu walikuwa wanasema kwamba Simoni ni nguvu ya Mungu inayojulikana Nguvu Kuu.