sw_tn/act/07/26.md

24 lines
627 B
Markdown

# baadhi ya Waisraeli
Waisraeli wawili aliwaona wanaogombana wao kwa wao.
# akajaribu kuwapatanisha
Alijaribu kuwazuia wasipate kuendelea na ugomvi.
# Mabwana, Ninyi ni ndugu;
Musa alikuwa akizungumza na hao waisraeli waliokuwa wakigombana
# mbona mnakoseana ninyi kwa ninyi,?
Musa aliuliza swali kuwatia moyo waache kugombana. Msizidi kugombana tena
# Nani kakufanya mtawala na mwamuzi wetu?
Hili swali lilitumika kumkemea Musa."Huna mamlaka juu yetu"!
# Wewe unataka kuniua , kama ulivyomuua Mmisri jana?"
Mtu yule alitumia swali hilo kumwonya Musa aanze kuzani yawezekana wengi wao walimwona akimwua yule Mmisri.