# baadhi ya Waisraeli Waisraeli wawili aliwaona wanaogombana wao kwa wao. # akajaribu kuwapatanisha Alijaribu kuwazuia wasipate kuendelea na ugomvi. # Mabwana, Ninyi ni ndugu; Musa alikuwa akizungumza na hao waisraeli waliokuwa wakigombana # mbona mnakoseana ninyi kwa ninyi,? Musa aliuliza swali kuwatia moyo waache kugombana. Msizidi kugombana tena # Nani kakufanya mtawala na mwamuzi wetu? Hili swali lilitumika kumkemea Musa."Huna mamlaka juu yetu"! # Wewe unataka kuniua , kama ulivyomuua Mmisri jana?" Mtu yule alitumia swali hilo kumwonya Musa aanze kuzani yawezekana wengi wao walimwona akimwua yule Mmisri.