sw_tn/act/07/11.md

28 lines
502 B
Markdown

# Kukawa na njaa
"Kukawa na njaa."ardhi ikaacha kutoa chakula
# Mababa zetu
"Ndugu zake wakubwa Yusufu"
# Nafaka
"Chakula"
# aliwatuma baba zetu...Kaka zake
Yakobo aliwatuma baba zetu, ndugu zake na Yusufu.
# Katika safari ya pili
Katika safari yao ya pili ya kufuata chakula huko Misri.
# Akajionyesha
Yusufu akajifunua kwa ndugu zake na kujitambulisha kama ndugu yao.
# familia ya Yusufu ikajulikana kwa Farao.
Kwa maana nyingine; Farao akafahamu kuwa hao walikuwa ndugu zake na Yusufu.