# Kukawa na njaa "Kukawa na njaa."ardhi ikaacha kutoa chakula # Mababa zetu "Ndugu zake wakubwa Yusufu" # Nafaka "Chakula" # aliwatuma baba zetu...Kaka zake Yakobo aliwatuma baba zetu, ndugu zake na Yusufu. # Katika safari ya pili Katika safari yao ya pili ya kufuata chakula huko Misri. # Akajionyesha Yusufu akajifunua kwa ndugu zake na kujitambulisha kama ndugu yao. # familia ya Yusufu ikajulikana kwa Farao. Kwa maana nyingine; Farao akafahamu kuwa hao walikuwa ndugu zake na Yusufu.