sw_tn/act/05/07.md

12 lines
302 B
Markdown

# mke wake aliingia ndani
Mke wa Anania naye aliingia ndani ya nyumba walimokuwa mitume.
# Kilichokuwa kimetokea
"Kwamba mme wake alikuwa amekufa"
# kwa thamani hiyo
"Kwa thamani hiyo" linalenga kuthibitisha kama Anania alileta fedha kwa mitume yenye thamani sawa na thamani ya shamba lililouzwa.