sw_tn/act/04/34.md

16 lines
543 B
Markdown

# waliokuwa na hati za viwanja au nyumba
Umiliki wa hati za viwanja na nyumba kwa waliokuwa wanamiliki Yerusalemu
# waliviuza na kuleta pesa ya vitu waliyokuwa wameuza
Fedha ambayo walilipwa kutoka vitu walivyoviuza.
# Waliweka chini ya miguu ya mitume
Hii ilikuwa ni njia ya waumini: 1) kuonyesha waziwazi mabadiliko ya mioyo na 2) kuwapa mitume mamlaka juu ya namna zawadi inavyopaswa kutumika.
# mgawanyo ulifanywa kwa kila muumini, kulingana na kila mmoja alivyokuwa na hitaji.
Waligawanya pesa kwa waumini kwa aliyekuwa na uhitaji