# waliokuwa na hati za viwanja au nyumba Umiliki wa hati za viwanja na nyumba kwa waliokuwa wanamiliki Yerusalemu # waliviuza na kuleta pesa ya vitu waliyokuwa wameuza Fedha ambayo walilipwa kutoka vitu walivyoviuza. # Waliweka chini ya miguu ya mitume Hii ilikuwa ni njia ya waumini: 1) kuonyesha waziwazi mabadiliko ya mioyo na 2) kuwapa mitume mamlaka juu ya namna zawadi inavyopaswa kutumika. # mgawanyo ulifanywa kwa kila muumini, kulingana na kila mmoja alivyokuwa na hitaji. Waligawanya pesa kwa waumini kwa aliyekuwa na uhitaji