sw_tn/act/03/04.md

20 lines
420 B
Markdown

# Petro, akimkazia macho
"Petro na Yohana walimwangalia mtu huyo kwa makini na Petro akaongea"
# Kiwete akawaangalia
"kiwete aliwatazama Petro na Yohana kwa makini"
# Fedha au dhahabu
Fedha au dhahabu ilitimika kuwakilisha pesa.
# kile nilichonacho
Inafahamika kuwa Petro alikuwa na uwezo wa kumponya yule mtu.
# katika jina la Yesu Kristo
"Kupitia mamlaka na nguvu ya Jina la Yesu Kristo" lilimponya mtu yule.