# Petro, akimkazia macho "Petro na Yohana walimwangalia mtu huyo kwa makini na Petro akaongea" # Kiwete akawaangalia "kiwete aliwatazama Petro na Yohana kwa makini" # Fedha au dhahabu Fedha au dhahabu ilitimika kuwakilisha pesa. # kile nilichonacho Inafahamika kuwa Petro alikuwa na uwezo wa kumponya yule mtu. # katika jina la Yesu Kristo "Kupitia mamlaka na nguvu ya Jina la Yesu Kristo" lilimponya mtu yule.