sw_tn/act/02/27.md

24 lines
452 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Petro anamaliza nukuu ya Daudi.
# Maelezo ya jumla
Petro anasema, Daudi alisema maneno kuwa Mtakatifu wangu akimaanisha Yesu na maneno "wako" akimaanisha Mungu.
# wala hutaruhusu Mtakatifu wako kuona uozo
Mwili wake Masihi hautabaki maiti muda mrefu mpaka uoze. au "kuchakaa"
# njia za maisha
"kweli yenye-kuhuisha"
# nijae furaha mbele ya uso wako.'
Neno "Uso" anamaanisha uwepo wa Mungu.
# furaha
"Shangwe au Kicheko"