# Sentensi unganishi Petro anamaliza nukuu ya Daudi. # Maelezo ya jumla Petro anasema, Daudi alisema maneno kuwa Mtakatifu wangu akimaanisha Yesu na maneno "wako" akimaanisha Mungu. # wala hutaruhusu Mtakatifu wako kuona uozo Mwili wake Masihi hautabaki maiti muda mrefu mpaka uoze. au "kuchakaa" # njia za maisha "kweli yenye-kuhuisha" # nijae furaha mbele ya uso wako.' Neno "Uso" anamaanisha uwepo wa Mungu. # furaha "Shangwe au Kicheko"