sw_tn/2ti/03/16.md

28 lines
518 B
Markdown

# Kila andiko limeandikwa kwa uwezo wa Mungu
"Mungu aliyanena Maandiko yote kwa roho yake" au " Kila andiko ni pumzi ya Mungu", na kutolewa na roho wa Mungu. Mungu aliwambia watu nini waandike.
# Lafaa.
"yenye kutumika" au " yenye faida"
# Kuonya.
"kuonesha makosa"
# Kurekebisha
"Kusahihisha makosa"
# Kufundisha.
"kuwa mwenye maadili" au "kuleta katika uwezo wa kufanya kitu.
# Mwenye uwezo dhabiti.
"Kuwa kamili"
# mtu wa Mungu
Hii inamaana ya mtu yeyote anayemwamini Mungu awe mwanaume au mwanamke.