# Kila andiko limeandikwa kwa uwezo wa Mungu "Mungu aliyanena Maandiko yote kwa roho yake" au " Kila andiko ni pumzi ya Mungu", na kutolewa na roho wa Mungu. Mungu aliwambia watu nini waandike. # Lafaa. "yenye kutumika" au " yenye faida" # Kuonya. "kuonesha makosa" # Kurekebisha "Kusahihisha makosa" # Kufundisha. "kuwa mwenye maadili" au "kuleta katika uwezo wa kufanya kitu. # Mwenye uwezo dhabiti. "Kuwa kamili" # mtu wa Mungu Hii inamaana ya mtu yeyote anayemwamini Mungu awe mwanaume au mwanamke.