sw_tn/2ti/01/12.md

32 lines
720 B
Markdown

# Kwa sababu hii
"Kwa sababu mimi ni nabii"
# Nateseka pia
Paulo anaelezea namna alivyo mfungwa.
# Nina hakika
"Nina shawishika"
# Siku ile
Inaweza kuwa na maana ya 1) Siku ambayo Bwana atakuja tena au 2) siku ambayo Mungu atawahukumu watu.
# Utunze mfano wa ujumbe wa uaminifu uliousikia toka kwangu
"Endelea kufundisha mawazo ya kweli niliyokufundisha" au "tumia maneno yangu ma mafundisho yangu kama mfano kwa utakachofundisha"
# Hilo jambo zuri
Hii inaelezea kazi ya kutangaza injili kwa usahihi.
# Yatunze
Timotheo anatakiwa kuwa makini na watu wanaopinga kazi yake, wanajaribu kumkataza na kupinga nachokisema.
# Kupitia roho mtakatifu
"Fanya yote na yale ambayo roho mtakatifu amekwambia uyafanye"