# Kwa sababu hii "Kwa sababu mimi ni nabii" # Nateseka pia Paulo anaelezea namna alivyo mfungwa. # Nina hakika "Nina shawishika" # Siku ile Inaweza kuwa na maana ya 1) Siku ambayo Bwana atakuja tena au 2) siku ambayo Mungu atawahukumu watu. # Utunze mfano wa ujumbe wa uaminifu uliousikia toka kwangu "Endelea kufundisha mawazo ya kweli niliyokufundisha" au "tumia maneno yangu ma mafundisho yangu kama mfano kwa utakachofundisha" # Hilo jambo zuri Hii inaelezea kazi ya kutangaza injili kwa usahihi. # Yatunze Timotheo anatakiwa kuwa makini na watu wanaopinga kazi yake, wanajaribu kumkataza na kupinga nachokisema. # Kupitia roho mtakatifu "Fanya yote na yale ambayo roho mtakatifu amekwambia uyafanye"